Nafasi Ya Matangazo

September 06, 2021

Na Lucas Raphael Tabora
Jeshi la polisi mkoani Tabora linamshikilia Mbalu Mwagembe   kwa tuhuma ya kumlisha dawa ya kienyeji mume wake aliyopewa na mganaga kwa lengo la mumewe kuacha ulevi uliopitiliza lakini dawa hiyo inaiwadawa  ilikuwani  sumu iliyopoteza maisha ya mwanaume huyo.
 
Akitoa taarifa kwavyombovya habari jana Kamanda wa Jeshi la polisi mkoani Tabora ACP. Safia Jongo (pichani) alimtaja mwanaume huyo  aliyefahamika kwa jina la Talibona Nyerere  ( 47 ) alilishwa dawa hiyo na mke wake mdogo.
 
Alisema kwamba tukio hilo lilitokea septemba 3 mwaka huu katika Kitongoji Cha Mtakuja Kijiji Cha Mwanzwilo kata ya Igusule  Tarafa ya Mwakalunde Wilayani Nzega mkoani Tabora .
Alisema kwamba mwamke huyo Mbalu Magembe  baada ya kurejea nyumbani akiwa amelewa mume wake Kama ambavyo imekuwa kawaida yake kumpa dawa hiyo ili aweze kuacha ulevi wa pombe.
 
Alisema kwamba ilikuwa ni maelekezo ya mganga wa kienyeji  kwamba itasaidia mwanaume huyo kupunguza pengine kuacha kabisa ulevi .
 
Acp Safia alisema kwa baadaya kufanya mahojiano na mtuhumiwa huyo alimtaja wa mtaja mganga jina lihifadhiwa na na anashikiliwa na jeshi  hilo.
 
Hata hivyokamanda huyo wa polisi halitoa tadhari kwa wananchi kuwa makini na waganga hao jadi ambao wamepelekea kusababaisha kifo mtu huyo.
Posted by MROKI On Monday, September 06, 2021 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo