Nafasi Ya Matangazo

March 24, 2012

Katibu Tawala mpya wa mkoa wa Mbeya Bibi.Mariam Mtunguja akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es salaam leo.Katika hafla hiyo Rais aliwaapisha pia makatibu Tawala wa mikoa mingine kama ifuatavyo,Dkt. Faisal Issa(Kilimanjaro),Bwana Eliya Ntandu(Morogoro), Bwana Severine Kahitwa(Geita),Bwana Emmanuel Kalobelo(Katavi), Bwana Hassan Bendeyeko(Ruvuma) na Dkt. Anselem Tarimo (Shinyanga)
Posted by MROKI On Saturday, March 24, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo