
Watangazaji wa kipindi cha Mishe Mishe cha Radio 5 ya jijini Arusha wakiwa studio wakiendesha kipindi hicho leo,Kulia ni Salim Hassan Bitchuka na kushoto ni Mwanaisha Suleiman Shaibu.katikati ni Dj wa Kipindi aitwaye King Dav.

Timu wa wafanyakazi woote wa Kituo hicho.
![]() |
Maproducer wa Radio 5 FM ,Deogratius Moita (mwenye nyekundu) na Charles Mayomi. |

Sehemu ya studio mpya ya TV ambayo karibuni itaanza kufanya kazi

Jengo la kituo hicho kwa nje
No comments:
Post a Comment