Nafasi Ya Matangazo

December 06, 2011

Wachezaji wa timu za Uganda na Zimbabwe wakipambana vikali katika lango la timu ya Zimbabwe katika mchezo wa Robo fainali kombe la TUSKER CHALLENGE CUP 2011 uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii, timu ya Uganda imefanikiwa kushinda mchezo huo goli 1-0 dhidi ya Zimbabwe, Matokeo ambayo yanaitoa nje ya mashindano timu ya Zimbabwe.
Kikosi cha timu ya Zimbabwe kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mpambano huo.
Kikosi cha timu ya Uganda kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mpambano huo.
Posted by MROKI On Tuesday, December 06, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo