Nafasi Ya Matangazo

December 06, 2011

 Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,Dk David Mathayo David(kulia)akiangalia zawadi anayomkabidhi  Mkurugenzi wa RONHEAM INTERNATIONAL kwa  kutambua mchango wake kwa chama cha Madaktari wa mifugo nchini(TVA)katika mkutano wa 29 chama hicho uliofanyika leo mjini Arusha.
Makamu mwenyekiti wa chama cha madaktari wa mifugo nchini(TVA)ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Ronheam International,Dk Henry Mbwille(kulia) akiongea baada ya kupokea zawadi  aliyokabidhiwa na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,Dk David Mathayo David,kushoto ni mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ludovick Kazwala ya kutambua mchango wake katika mkutano wa 29 chama hicho uliofanyika leo mjini Arusha.
Posted by MROKI On Tuesday, December 06, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo