Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,Dk David Mathayo David(kulia)akiangalia zawadi anayomkabidhi Mkurugenzi wa RONHEAM INTERNATIONAL kwa kutambua mchango wake kwa chama cha Madaktari wa mifugo nchini(TVA)katika mkutano wa 29 chama hicho uliofanyika leo mjini Arusha.
Makamu mwenyekiti wa chama cha madaktari wa mifugo nchini(TVA)ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Ronheam International,Dk Henry Mbwille(kulia) akiongea baada ya kupokea zawadi aliyokabidhiwa na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,Dk David Mathayo David,kushoto ni mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ludovick Kazwala ya kutambua mchango wake katika mkutano wa 29 chama hicho uliofanyika leo mjini Arusha.
No comments:
Post a Comment