Nafasi Ya Matangazo

July 22, 2011

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akifurahia jambo katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 22,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juali 22, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa kwenye Kituo cha Mikutano cha St. Gaspar Mjni Dodoma Julai 22, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Naibu Waziri wa  Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Aggrey Mwanri (kulia ) na Mwenyekiti wa  Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa, Dr. Charles Kimei (kushoto) kwenye Kituo cha Mikutano cha St. Gaspar Mjni Dodoma  baada ya kuzindua Bodi hiyo Julai 22, 2011.
Posted by MROKI On Friday, July 22, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo