KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 22, 2011
Waziri Mkuu mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 22,2011.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juali 22, 2011.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa kwenye Kituo cha Mikutano cha St. Gaspar Mjni Dodoma Julai 22, 2011.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Aggrey Mwanri (kulia ) na Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa, Dr. Charles Kimei (kushoto) kwenye Kituo cha Mikutano cha St. Gaspar Mjni Dodoma baada ya kuzindua Bodi hiyo Julai 22, 2011.
No comments:
Post a Comment