Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya PeopleShome ya Ujerumani, Bwana Ulrich Kretzschmar kabla ya Mazungumzo yao, Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma Julai 18, 2011.Kampuni hiyo inaangalia uwezekano wa kuwekeza katika Nishati Endelevu nchini. Katikati ni mwenyeji wa mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Ukonga, Eugen Mwaiposa (kulia ) na Mbunge wa Viti Maalum Al Shaymaa Kwegyir kwenye jengo la utawala wa Bunge Mjini Dodoma Julai 18, 2011.
July 18, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment