Mtoto wa Mfugaji wa Mkoani Arusha akiwa na mifugo yake akitafuta malisho katika eneo la Kikatiti Mkoani humo leo, mifugo mingi katika maeneo hayo na maeneo mengi ya wafugaji inakabiliwa na uhaba wa chakula na maji kufauatia hali ya ukame iliyopo katika maeneo yao.
0 comments:
Post a Comment