Nafasi Ya Matangazo

July 24, 2011

 Serengeti Fiesta 2011 katika msimu wa dhahabu leo ipo katika uwanja wa michezo wa Mkwakwani Mjini Tanga, mambo ndo kwaaanza yameanza na hakika hakuna Majotroooo. Pichani ni wadogo wakionesha vipaji vya kusakata rumba
 Kungekuwa na Majotrooo...Mkwakwani Hellen asinge show love na wadau hawa...
 Nikushow love tu kwa kila stile leo ndani ya Mkwakwani Tanga usiku huu.
 Wagosi nao wapo nyomi kimtindo....
Msanii anaeshika kasi kwa sasa Bob Jr akishow love kwa Rachel kutoka THT.
Posted by MROKI On Sunday, July 24, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo