Nafasi Ya Matangazo

October 04, 2009

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvi muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dar es Salaam akitokea Mwanza ambapo alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za kuadhimisha mika mia moja tangu kuanzishwa kwa kanisa la Africa Inland church Tanzania zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Kirumba jijini Mwanza leo.
Posted by MROKI On Sunday, October 04, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo