
Mtoto aliyepakiwa katika pikipiki bila kuvalishwa kofia maalum ya kujinga na madhara pindi apatapo ajali akiwa amelala huku mwendesha pikipiki hiyo akijaribu kumwasha kama alivyonaswa na camera yetu barabara ya Nyerere Dar es Salaam Septemba 21, 2009.

Baada ya mtoto kuamka aligeukia upande wa pili na kuendeleza libeneke la mbonji.
0 comments:
Post a Comment