
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Kamp[uni ya Bia ya Serengeti (SBL) Shantunu Chitgopkar (kulia) na mwenzake wakipozi na chui.

Makulaji katika staili ya mkia wa jogoo yalikuwa ya kumwaga na Vichui chui.

Mmoja wa washiriki wa tangazo jipya la Bia ya Serengeti ambalo limeshirikisha wadau mbalimbali ikiwapo timu ya Taifa Taifa Stars na benchi la Ufundi, Marcio Maximo akizungumza Dar es Salaam juzi wakati wa uzinduzi.

Afisa Habari wa SBL, Teddy Mapunda akifafanua jambo juu ya Chui wao kutoka katika chupa wakati wa uzinduzi wa matangazo mapya ya bia ya Serengeti, kwa TV na Redio.

Mgeni rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo, Eric Turuka (kulia) akiwa na Kocha wa timu ya Taifa, Marcio Maximo na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Kamp[uni ya Bia ya Serengeti (SBL) Shantunu Chitgopkar wakiangalia tangazo hilo jipya.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo, Eric Turuka akiteta jambo na Teddy Mapunda ambaye ni Afisa Habari wa SBL. SBL kupitia bia yajke ya Serengeti Lagger ndio wadhamini wakuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars.
0 comments:
Post a Comment