Nafasi Ya Matangazo

September 26, 2009

Mke wa Rais, Salma Kikwete janaalizindua mchezo wa Bao ulioandaliwa na chama cha michezo ya jadi Dar es Salaam,(CHAMIJADA), uzinduzi huo umefanya kwa kushiriki yeye kucheza Bao na Asia Ally Bushiri na hatimaye Mama Kikwete kuibuka mshindi wa mchezo huo mbele ya aliyekuwa Jaji wa mchezo Bi,Edith Dismas Lyimo (katikati) Uzinduzi huo ulifanyika kwenye viwanja vya Julius k. Nyerere Ukumbi wa Kobe Mchezo huo ni kumuenzi Baba wa Taifa Mwl, Nyerere 26.9.2009
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa pamoja na Warembo wa Miss Vodacom wakati waliposhiriki kwenye ufunguzi wa Tamasha la Chama cha Michezo ya Jadi Dar es salaam na kupiga picha ya pamoja na Warembo hao kwenye uwanja wa Maonyesho wa Julius k Nyerere leo.
Posted by MROKI On Saturday, September 26, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo