Nafasi Ya Matangazo

September 14, 2009

Mabrigedia Jenerali wa Jashi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiushusha kaburini mwili wa Meja Jenerali Mstaafu James Luhanga
Watoto wa marehemu Meja Janerali Mstaafu James Luhanga wakiweka mchanga katika kaburi la baba yao. Luhanga amezikwa leo kijini kwa Wenda, Iringa Vijijini.
Posted by MROKI On Monday, September 14, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Kaka nakuomba kitu 1, picha kama hizi ni nzuri sana kwa kumbukumbu hivyo basi unapozipiga zipige ziwe kubwa ili tuone kila mtu na mahali husika, ila hizi tuki-click ili tuone ukubwa wake bado still zinaonekana ndogo...

    Chondechonde kaka, twaomba ombi letu ulisikie maana sisi ndio wadau wa blog, picha ziwe kama zile za Mjengwa yaani kubwa.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo