
Mabrigedia Jenerali wa Jashi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiushusha kaburini mwili wa Meja Jenerali Mstaafu James Luhanga

Watoto wa marehemu Meja Janerali Mstaafu James Luhanga wakiweka mchanga katika kaburi la baba yao. Luhanga amezikwa leo kijini kwa Wenda, Iringa Vijijini.
Kaka nakuomba kitu 1, picha kama hizi ni nzuri sana kwa kumbukumbu hivyo basi unapozipiga zipige ziwe kubwa ili tuone kila mtu na mahali husika, ila hizi tuki-click ili tuone ukubwa wake bado still zinaonekana ndogo...
ReplyDeleteChondechonde kaka, twaomba ombi letu ulisikie maana sisi ndio wadau wa blog, picha ziwe kama zile za Mjengwa yaani kubwa.