
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akishiriki katika matembezio ya hisani ya kuchangia fedha kampeni ya kupanda miti inayoendeshwa na shirika la Rotary, jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono ( wa pili kushoto) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Benki ya M. Kwa mujibu wa waratibu wa matembesi hayo, zaidi ya Sh. milioni 90 zilipatikanaa.
0 comments:
Post a Comment