Nafasi Ya Matangazo

September 28, 2009

Mjane wa baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere (Mama wa Taifa) akizungumza na waandishi nyumbani kwake Msasani Dar es Salaam leo, kuhusiana na tuzo aliyoipokea Mapema mwezi huu kutoka kwa Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa mataifa inayotambua Mchango wa baba wa Taifa, Mwalim Julius Nyerere katika ukombozi wa bara la Afrika.
Nilibahatika kupiga nae picha. Father Kidevu (katikati) Mama wa Taifa, Maria Nyerere na Brother Makongoro Nyerere.
Mama wa Taifa,alinipa mkono wa baraka katika kazi yangu. Bahati iliyoje.
Posted by MROKI On Monday, September 28, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo