Nafasi Ya Matangazo

August 26, 2008

Polisi akishirikiana na Mlinzi wa Ultimate wanaolinda katika tawi la Benki ya CRDB mtaa wa Samora na Ohio jijini Dar es Salaam akiwa amemshikilia mtu aliyejitambulisha kwa jina la Athumani Alli raia wa Kenya aliyetuhumiwa kumuibia pochi iliyo na fedha zaidi ya sh lakini nane mmoja wa wateja wa benki hiyo aliyekuwa akihesabu fedha zake kaunta.
Posted by MROKI On Tuesday, August 26, 2008 1 comment

1 comment:

  1. hao polisi wenyewe ukiwapa shilingi elfu moja tu wanakuachia kama hawajala

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo