Polisi akishirikiana na Mlinzi wa Ultimate wanaolinda katika tawi la Benki ya CRDB mtaa wa Samora na Ohio jijini Dar es Salaam akiwa amemshikilia mtu aliyejitambulisha kwa jina la Athumani Alli raia wa Kenya aliyetuhumiwa kumuibia pochi iliyo na fedha zaidi ya sh lakini nane mmoja wa wateja wa benki hiyo aliyekuwa akihesabu fedha zake kaunta.
hao polisi wenyewe ukiwapa shilingi elfu moja tu wanakuachia kama hawajala
ReplyDelete