Kocha msaidizi wa timu ya Simba Jamhuri Kihwelo "Julio" (kulia) akiteta jambo na bosi wake mpya Mbulgaria Krasimir Smilenov mara baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Simba na Vital'O ambapo Simba ilishinda 1-0. Huyu ni kocha wa 4 wa kigeni kwa Simba lakini wote hawakai je huyu ataweza.
timu
0 comments:
Post a Comment