Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Mary Maganga akizungumza na menejimenti ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Jijini Dodoma wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea Taasisi zilizopo chini ya Ofisi hiyo.
Menejimenti ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) na baadhi ya Watendaji kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Mary Maganga (hayupo pichani) alipotembelea Mfuko huo tarehe 6 Mei, 2024.

Mkurugenzi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma akieleza jambo wakati wa kikao hicho.
Baadhi ya Viongozi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), wakiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya mfuko huo kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Mary Maganga alipotembelea Mfuko huo tarehe 6 Mei, 2024, jijini Dodoma.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Mary Maganga (katikati) akikabidhiwa maua kama ishara ya kumkaribisha katika Mfuko huo. Kulia ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma. Kulia ni Bi. Navoneiwa Senkoro.
Picha ya pamoja ya Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Mary Maganga na viongozi pamoja na watumishi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), wakati alipotembelea Mfuko huo tarehe 6 Mei, 2024, jijini Dodoma.

Na Mwandishi Wetu – DODOMA
Mhe. Maganga
amebainisha kuwa, WCF tayari huduma wanazotoa zimekidhi vigezo vya Shirika la
Kimataifa la Viwango ikiwa ni, menejimenti ya vihatarishi, Huduma
mtandao,Tathmini ya kisayansi ya Takwimu bima na Kanzidata, hivyo ameutaka
mfuko huo kuhakikisha unakamilisha mchakato wa kuipata ithibati ya viwango vya
kimataifa (ISO) ili kuendelea kutoa huduma bora na kuboresha utendaji.
Ameyasema hayo
Mei 6, 2024 alipotembelea Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), jijini Dodoma
ikiwa ni sehemu ya ziara yaks ya kutembelea Taasisi zilizo chini ya Ofisi hiyo,
ambapo amesema kuwa, Mfuko huo umekuwa ukitekeleza majukumu yake vizuri ikiwemo
kulipa fidia kwa wafanyakazi walioumia, kuugua ama kufariki kutokana na kazi.
“Mfuko wa Fidia
kwa Wafanyakazi (WCF) ni muhimu sana katika maeneo yetu ya kazi kwa sababu ni
kiashiria kuwa serikali inatambua na kuthamini wafanyakazi nchini,” amesema
Kwa upande wake,
Mkurugenzi wa Mfuko huo, Dkt. John Mduma amemhakikishia Katibu Mkuu kuwa Mfuko
huo utakamilisha mchakato wa kupata Ithiubati ya ISO na ameongeza kuwa tayari wamepata Tuzo ya
Kimataifa kwa utoaji Huduma mtandao na
Shirika la Kazi Duniani (ILO) limeutambua muongozo wa Mfuko huo inaoutumia
kufanya Tathmini ya viwango vya Fidia.
Katika hatua
nyingine Dkt. Mduma amesema, Tathmnini ya uhai na uendelevu wa Mfuko wa Fidia
kwa Wafanyakazi (WCF), iliyofanywa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) inaonesha
kwamba Mfuko una uhimilivu (Sustainability) kwa kipindi cha miaka 30 kuanzia
mwaka wa tathmini 2022/2023.
P 9 & P 10
0 comments:
Post a Comment