Nafasi Ya Matangazo

April 13, 2024

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi  Dk. Emmanuel Nchimbi akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi tayari kuanza ziara ya kikazi katika mikoa 6 nchini.

Atafanya ziara katika mikoa mingine ya Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Ruvuma ambapo ataimarisha uhai wa chama, kutembelea mabalozi pamoja na kukagua miradi ya maendeleo ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM.


Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla akisalimiana na makada pamoja na wananchi.
Balozi Dk. Nchimbi akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili Mpanda.
Dk. Nchimbi akisalimiana na viongozi na makada wa CCM.
 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 0754264203

Posted by MROKI On Saturday, April 13, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo