Nafasi Ya Matangazo

November 17, 2017

Mwenyekiti kamati ya Ufundi, Stephen Mapunda  kutoka timu ya Majimaji akimkabidhi tuzo maalumu Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Wengine ni Mwenyekiti, Stephen Ngonyani na Shabiki wa timu hiyo kulia, Vian Nchimbi.
Viongozi wa timu ya Majimaji  wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi tuzo maalumu kwa Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Kushoto ni Mwenyekiti wa Timu hiyo, Stephen Ngonyani, Mwenyekiti Kamati ya Ufundi Stephen Mapunda (wapili kulia) na shabiki wa timu hiyo Bw. Vian Nchimbi.

Posted by MROKI On Friday, November 17, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo