Nafasi Ya Matangazo

April 26, 2017

Mkurugenzi wa Habari wa Chama cha Wananchi (CUF), Abdul Kambaya akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu vurugu za chama hicho zilizotokea hivi karibuni zilizosababisha baadhi ya waandishi wa habari na watu wengine kujeruhiwa. Wengine ni Mkurugenzi wa Ulinzi wa chama hicho, Masoud Mhina, Mkurugenzi wa Mipango na Uchaguzi wa CUF, Jafari Mneke (kulia kwake) na Mkurugenzi wa Wanawake wa chama hicho, Salama Masudi (kushoto). (Picha na Fadhili Akida). 

Posted by MROKI On Wednesday, April 26, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo