Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akilakiwa na Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete alipowasili kwenye msiba wa Marehemu Mariam Ramadhani Saburi, shemeji yake Rais Mstaafu Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Oktoba 10, 2016
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akilakiwa na Bw. Mohamed Kikwete alipowasili kwenye msiba wa Marehemu Mariam Ramadhani Saburi, shemeji yake Rais Mstaafu Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Oktoba 10, 2016. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Majid Hemed Mwanga,
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiifariji wana familia wa Bibi Maguno Binti Athumani ambaye ni mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemejie (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akimfariji akifariji wana familia wa Bibi Maguno Binti Athumani ambaye ni mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemejie (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Oktoba 10, 2016
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akimfariji Bibi Maguno Binti Athumani ambaye ni mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Oktoba 10, 2016
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete (kulia) akimfariji Bi Maguno Binti Athumani ambaye ni mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Oktoba 10, 2016.BOFYA HAPA KUSOMA ZADI.
Mawaidha yakitolewa msibani
Bw. Yusuph Kikwete akielekeza waombolezaji sehemu ya kukaa wakati wa msiba huo
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mnbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete alipowasili kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo.
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mkwewe Bi Maguno Binti Athumani kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiongea jambo na Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Oktoba 10, 2016
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimpa mkono wa pole Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na waombolezaji wengine kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na waombolezaji wengine kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo
Sehemu ya waombolezaji kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na waombolezaji wengine wakibeba mwili wa shemeji yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo
Waombolezaji wakimswalia maiti
waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Mariam Ramadhani Saburi kuelekeza makaburini huko Bagamoyo leo
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwafariji watoto wa shemejie Rais Mstaafu Mhe Jakaya Mrisho Kikwete, Marehemu Mariam Ramadhani Saburi, aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Oktoba 10, 2016
Sehemu ya waombolezaji msibani
Waombolezaji wakijiandaa kupata chakula cha mchana kabla ya maziko.
Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment