Nafasi Ya Matangazo

May 10, 2016

Kampuni ya TBL Group imeendesha zoezi la upimaji wa Afya za wafanyakazi wake  ikiwa ni utekelezaji wa kampeni ya Afya kwanza iliyozinduliwa hivi karibuni  lengo kubwa likiwa ni kulinda afya za wafanyakazi kiafya pamoja na familia zao.Zoezi  hili limefanyika katika kiwanda cha TBL kilichopo jijini Dar es salaam. Picha mbalimbali zikionesha wafanyakazi wa TBL Dar es Salaam wakipima afya zao.
Wafanyakazi wakichekiwa afya zao.
Kila mmoja alijitokeza kwaajili ya kuangalia afya yake.
Vipimo vya kila aina vilikuwepo kwaajili ya kuangalia afya za wafa yakazi.
Kujua afya yako ni jambo jema na inapotokea mwajiri analeta huduma hiyo jirani nijambo jema zaidi.
Kampuni ya TBL Group imeendesha zoezi la upimaji wa Afya za wafanyakazi wake  ikiwa ni utekelezaji wa kampeni ya Afya kwanza iliyozinduliwa hivi karibuni  lengo kubwa likiwa ni kulinda afya za wafanyakazi kiafya pamoja na familia zao.Zoezi  hili limefanyika katika kiwanda cha TBL kilichopo jijini Dar es salaam.
Posted by MROKI On Tuesday, May 10, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo