Nafasi Ya Matangazo

June 16, 2015

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mchakato wa uhakiki wa kadi za wanachama wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kisiwani Zanzibar waliojitokeza kumdhamini.



Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika  mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Mussa Haji Katibu wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kisiwani Zanzibar

 Dkt. Magufuli akifurahia mara baada ya kukabidhiwa fomu za Wadhamini kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Kaskazini B-Unguja.



Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli akifurahia jambo na baadhi ya wanachama waliojitokeza kumdhamini huko Chakechake Pemba.



Dkt. Magufuli akikabidhiwa fomu za wadhamini Wete Kisiwani Pemba



Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli akiaagana na wana CCM kutoka Wilaya ya Kati unguja mara baada ya zoezi kukamilika.
Posted by MROKI On Tuesday, June 16, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo