Nafasi Ya Matangazo

May 19, 2015

Wafanyakazi wa Benki ya DCB tawi la Ukonga, jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi pamoja na viongozi wengine wa Beki hiyo baada ya kukabidhi tuzo yao ya ushindi wa Tuzo ya Mwenyekiti 2015 (Chairman's Award 2015) iluiyofanyika Mei 18,2015 jijini Dar es Salaam. 

Mbali na Tawi hilo pia kushinda lakini pia wafanyakazi na vitengo vilivyofanya vyema na kufikia malengo yao walizawadiwa zawadi mbalimbali
 Wafanyakazi wa DCB Bank kutoka matawi mbalimbali wakiwa katika tafrija hiyo.
Wafanyakazi wa DCB Bank kutoka matawi mbalimbali wakiwa katika tafrija hiyo. 
 Wafanyakazi wa DCB kutoka tawi la Arnautoglu wakiwa katika tafrija hiyo.
 Wateja wa DCB tawi la Kariakoo wakiwa katika tafrija hiyo
 Wafanyakazi wa DCB Bank kutoka matawi mbalimbali wakiwa katika tafrija hiyo.
Wafanyakazi wa DCB tawi la Ukonga wakipokea kombe la ushindi wa jumla kwa tawi lao.
Febronia Mwacha akipeana mkono na wajumbe wa Bodi ya DCB baada ya kutunukiwa cheti.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB,Edmund Mkwawa akipokea cheti cha kutambulika katika mafunzo ya Ukurugenzi wa benki hiyo.
Meneja Masoko wa benki ya DCB, Boyd Mwaisame(kulia) akipokea cheti cha utumishi wa muda mrefu na maendeleo ya benki ya DCB kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi, Balozi Paul Rupia.
Burudani ilikuwepo ya haja na hapa wafanyakazi wakiselebuka.
Posted by MROKI On Tuesday, May 19, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo