Nafasi Ya Matangazo

May 04, 2015

Maharusi Adam Mzee na mkewe Lilian Malekia wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa yao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi,waliosimama kutoka kushoto ni,Merry Geofrey,Sheila Simba,Hafidh Kido ,John Bukuku,Suleiman Mwenda,Micky, Said Mwishehe,Sharifa,Neema Mwangomo,Abdala Kiluke,Mringi Petro ,katika Harusi ya Adam Mzee iliyofanyika katika Ukumbi wa Kivukoni,Serena Hotel.

Adam Mzee ni mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu ,Idara ya Itikadi na Uenezi,na ni mmiliki wa  blog maarufu ya Kamerayangu na Lilian ni mtumishi wa NMB Makao Makuu.
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi,Ndugu Abdurahman Kinana wa pili kulia,na Katibu wa Nec,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wa tatu kutoka kushoto,wakiwa na Mr & Mrs Mzee.

 Maharusi wakituzwa na Ndugu na marafiki wakati wakutoa zawadi.
 Maharusi wakiwa na wapambe wao,katika picha ya pamoja na wanakamati walipoenda kutoa zawadi na kuwapogeza maharusi.
Mr &Mrs.Adam Mzee
Posted by MROKI On Monday, May 04, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo