Nafasi Ya Matangazo

April 01, 2015

Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Jumbe Mangu akitoa heshma jana katika hospitali ya barabara ya kilwa jijini Dar es Salaam kwa miili ya askari waliouawa na watu wasiojulikana huko vikindu wilaya ya mkuranga, mkoani Pwani. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.

Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Jumbe Mangu akisema neno wakati wa kuaga miil;i ya askari hao.
Posted by MROKI On Wednesday, April 01, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo