Nafasi Ya Matangazo

March 24, 2015

Wanakamati wa Kamati ya IMETOSHA iyayoratibu mapambano dhidi ya vitendo vya unyanyapaa na mauaji ya Watu wenye Ulemavu wa Ngozi Albino nchini Tanzania. Kamati hiyo ilitembelea Bungeni mjini Dodoma leo na kufikisha ujumbe wao kwa Spika wa Bunge na Wabunge kuwaomba walichukue suala hilo kwa uzito wa hali ya juu.
Posted by MROKI On Tuesday, March 24, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo