Nafasi Ya Matangazo

March 11, 2015

Mkurugenzi Mtendaji wa BOA bank Tanzania,Ammish Owusu-Amoah (kulia), akimkabidhi, Said Mohamed Bakari, mfano wa funguo za gari aina ya Toyota Berevis, baada ya kutangazwa mshindi wa promosheni ya ‘Weka na Ushinde’ iliyoendeshwa na benki hiyo, Dar es Salaam
 Mshindi wa Gari Bw. Bw. Said Mohamed Bakari akingia ndani ya gari hilo leo baada ya kukabidhiwa

 Mwakilishi wa mshindi wa pili wa Promosheni ya ‘Weka na Ushinde’, Bi. Rhoda Manase (aliyemwakilisha Bi. Thureiya Zabron) akipoke pikipiki hiyo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa BOA bank Tanzania, Bw. Ammish Owusu-Amoah Dar es Salaam leo.

 Mshindi wa Gari, Bw. Bw. Said Mohamed Bakari akiwapungia waandishi wa habari mkono wakati akiondoka na gari hilo leo.



Mwakilishi wa mshindi wa pili wa Promosheni ya ‘Weka na Ushinde’, iliyoendeshwa na BOA benki Tanzania, Bi. Rhoda Manase (aliyemwakilisha Bi. Thureiya Zabron) akiwa na pikipiki hiyo.
Posted by MROKI On Wednesday, March 11, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo