Nafasi Ya Matangazo

February 19, 2015

Kutoka Maktaba leo ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu IJP, Omar I Mahita aliyeshika wadhifa huo wa kuliongoza Jeshi la Polisi kwa miaka 10 kuanzia tarehe 4/5/1996 – 2/3/2006 alipomuachia kijiti Said Mwema. 

Mahita atakumbukwa sana kutokana na ubabe wake na kauli za kuajimini atoapo maamuzi. Wakati viongozi wa CUF wakijiita wao Ngangari yeye alisema ni Jeshi lake ni Ngunguri. 

Mahita alichukua wadhifa huo kutoka kwa IJP. Harun G. Mahundi.
IGP wa kwanza Mtanzania baada ya Uhuru wa iliyokuwa Tanganyika ni Elengwa Shaidi. Waliofuata ni Hamza Aziz, Samson Pundugu, Philemon Mgaya, Solomon Liani, Harun Mahundi, Omar Mahita na Saidi Mwema. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/watatu-wapitishwa#sthash.LbeHbCmV.dpuf

Posted by MROKI On Thursday, February 19, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo