Nafasi Ya Matangazo

October 17, 2014

Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha,Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Kazamoyo,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji.
Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha,Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Nyamagana ,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji.
Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha,Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Kazamoyo,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji.
Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha,Godluck Ole Medeye(kulia) akitoa msaada wa mabati kwa wananchi waliothiriwa na mafuriko jimboni kwake.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Nduruma,Ally Sululu(kulia)akipokea kiasi cha Sh.500,000 kutoka kwa Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha,Godluck Ole Medeye alizoahidi kwaajili ya ukarabati wa Caravati la Kijiji hicho.
Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha,Godluck Ole Medeye(kulia) akikagua caravati linalowaondolea kero ya mawasiliano ,habari picha kwa  woindeshwww.woindeshizza.blogspot.comzza blog
Posted by MROKI On Friday, October 17, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo