Nafasi Ya Matangazo

April 10, 2014

Baadhi ya mitandao ya habari ya kijamii zimekuwepo habari zilizonukuliwa zikitoa taarifa kuwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limetangaza nafasi za ajira kwa Wahifadhi Wanyamapori madaraja ya pili na tatu.

Shirika la Hifadhi za Taifa linapenda kutoa ufafanuzi kuwa nafasi hizo zilizotangazwa sio za Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) bali ni ajira zilizotangazwa na Serikali Kuu kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma – Ofisi ya Rais na ambako kimsingi maombi ya nafasi hizo ndiko yanakopaswa kupelekwa.

Imetolewa na 
Idara ya MawasilianoHifadhiza Taifa Tanzania
10.04.2014
Posted by MROKI On Thursday, April 10, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo