Nafasi Ya Matangazo

April 24, 2014

 Mkurugenzi wa Lino International Agency,ambao ndio Waandaaji wa Shindano la Redd’s Miss Tanzania, Hashim Lundenga akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtangaza mdhamini mwingine wa Mashindano hayo, Marie Stopes Tanzania Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller na kushoto ni Redds Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa.
Katikati ni Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller (katikati) akizungumza wakati wa kutangaza udhamini wao kwa shindano la Miss Tanzania 2014. Kushoto ni Mkurugenzi wa Lino International Agency,ambao ndio Waandaaji wa Shindano la Redd’s Miss Tanzania, Hashim Lundenga na kushoto ni Redds Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa.
Katikati ni Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller (katikati) akizungumza wakati wa kutangaza udhamini wao kwa shindano la Miss Tanzania 2014.
Posted by MROKI On Thursday, April 24, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo