Nafasi Ya Matangazo

September 23, 2013


Askari Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa Askari mwenzao, Marehemu Private, Hugo Munga alifariki dunia Septemba 18 mwaka huu huko Pretoria Afrika Kusini kufuatia majeraha aliyoyapata akiwa na vikosi vya MONUSCO Congo DRC katika operations ya kuwaondoa waasi wa M23. Mwili wa Munga ulisafirishwa jana kwenda Mkoani Kilimanjaro kwa mazishi. Shughuli hiyo ya kuaga mwili wa marehemu ilifanyika Viwanja vya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam.
Mama wa Marehemu, Jovitha Barnaba Munga akisaidiwa kuaga mwili wa mwanae.
 
Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange akizungumza
Viongongozi mbalimbali wa Siasa na Jeshi wakiwa katika shughuli hiyo.
Baadhi ya waombolezaji ambao ni Askari wenzake marehemu pamoja na wana familia wakiwa eneo la tukio.
Posted by MROKI On Monday, September 23, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo