Nafasi Ya Matangazo

May 22, 2013

Baadhi ya washiriki wa shindano la Redd's Miss Kurasini 2013 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa Equator Grill. Warembo 11 wa kitongoji hicho watapanda jukwaani Ijumaa hii kuwania taji hilo na washindi wa tatu wataiwakilisha Kurasini katika shindano la Miss Temeke na baade Redd's Miss Tanzania 2013.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Redd's Miss Kurasini 2013 wakimsikiliza Mkufunzi wao Kudra Lupatu wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa Equator Grill. Warembo 11 wa kitongoji hicho watapanda jukwaani Ijumaa hii kuwania taji hilo na washindi wa tatu wataiwakilisha Kurasini katika shindano la Miss Temeke na baade Redd's Miss Tanzania 2013.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Redd's Miss Kurasini 2013 wakifanya mazoezi ya kucheza wimbo wa show ya ufunguzi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa Equator Grill. Warembo 11 wa kitongoji hicho watapanda jukwaani Ijumaa hii kuwania taji hilo na washindi wa tatu wataiwakilisha Kurasini katika shindano la Miss Temeke na baade Redd's Miss Tanzania 2013.
Kamati ya Miss Tanzania ikiongozwa na Mkurugenzi wake Hashim Lundenga jana pia ilitembelea kambi ya Redd's Miss Kurasini 2013 na kuzungmza nayo. Pichani ni Warembo hao wakimsikiliza Hashim Lundenga na ujumbe wake.
Posted by MROKI On Wednesday, May 22, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo