Nafasi Ya Matangazo

February 15, 2013

 MKuu wa Mkoa wa Rukwa , Stella Manyanya  wa tatu kulia  akibubujikwa na  machozi  jana usiku  baada ya  ya Kaimu Kamanda wa Polisi  Mkoa , Peter Ngusa (kulia)  akiwa  ameushikilia  mkono   ulionyofolewa hivi karibuni  kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa  ngozi (hayupo pichani) na kufukiwa  poroni kijijini Miangalua  wilayani Sumbawanga  akiuonesha hadharani  mbele  ya majengo ya  Hospitali ya Mkoa mjini hapa , watatu kushoto  ni Mganga Mkuu wa Mkoa , Dk John Gurisha

Mmoja wa askari  akifungua majani ya mgomba yaliyoufunga   mkono  ulionyofolewa hivi karibuni  kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa  ngozi (hayupo pichani) na kufukiwa  poroni kijijini Miangalua  wilayani Sumbawanga ambao akiuonesha hadharani  mbele  ya majengo ya  Hospitali ya Mkoa mjini hapa jana usiku jana Februari 14.
Posted by MROKI On Friday, February 15, 2013 1 comment

1 comment:

  1. WATANZANI TUNAKOKWENDA SIYO,HUU NI ZAIDI YA UNYAMA KUFANYA KWA BINADAM MWENZIO

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo