Nafasi Ya Matangazo

January 21, 2013

 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrisoin Mwakyembe wakiwaaga wananchi, baada ya Mkutano mkubwa wa hadhara wa CCM uliofanyika leo kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia maelfu ya wananchi waliofurika kweneye mkutano wa CCM uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza na mgeni rasmi akiwa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara ) Phili Mangula
Posted by MROKI On Monday, January 21, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo