Nafasi Ya Matangazo

November 01, 2012

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Samson Mashala akikagua timu za Small Kids ya Rukwa na Mkamba Rangers kutoka Morogoro kabla ya mpambano kati yao uliofanyika jana katika uwanja wa Nelson Mandela Mkoani Rukwa. Katika pambao hilo timu Small Kids illibuka na ushindi mnono wa goli tatu bila (3-0).
 Timu ya Mkamba Rangers kutoka Ifakara Mkoani Morogoro
Timu ya Small Kids ambayo inatumia uwanja wa Nelson Mandela kama uwanja wake wa nyumbani. Timu hii kwa sasa maskani yake yapo Jijini Dar es Salaam na Rukwa. (Picha na Hamza Temba - Rukwareview.blogspot.com)
Posted by MROKI On Thursday, November 01, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo