Nafasi Ya Matangazo

June 13, 2012

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, akimkabidhi trekta, Diwani wa Kata ya Kwadelo, wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma, Alhaj, Omary Kariati, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Trekta hiyo ambayo imenunuliwa kutoka Suma J KT, ni kwa ajili ya Chama Cha Maendeleo ya Kata hiyo ya Kwadelo chini ya Kwadelo Ward Development Commitee (KWDC)
Posted by MROKI On Wednesday, June 13, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo