Nafasi Ya Matangazo

June 05, 2012

 Mkuu wa kitengo cha Wateja Binafsi wa benki ya CBA, William Mungai (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa promosheni ya "Weka pesa na ushinde" ukiwa na akaunti ya CBA.Pomosheni hiyo itakua kwa muda wa miezi mitatu na zawadi mbalimbali zitatolewa kwa washindi ikiwa ni pamoja na  Laptop,Desktop na printer,Plasma screen, DVD Home theatre Jokofu (friji). kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko Aron Luhanga na kulia mwisho ni Mkuu wa Kitengo cha Makampuni Fatma Abdallah.
Mkuu wa kitengo cha Wateja Binafsi wa benki ya CBA, William Mungai (kushoto) akifuatiwa na Mkuu wa Kitengo cha Masoko Aron luhanga (katikati) na Mkuu wa kitengo cha Mkampuni Fatma Abdallah (kulia) kwa pamoja wakizindua promosheni ya "Weka pesa na ushinde" ukiwa na akaunti ya CBA mbele ya waandishi wa habari, Dar es Slaaam jana. Zawadi za washindi zitakuwa Laptop,Desktop,printer,Plasma screen, DVD Home theatre Jokofu (friji).
Posted by MROKI On Tuesday, June 05, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo