Nafasi Ya Matangazo

May 15, 2012

 Mwananmke Mkazi wa Mjini Singida akiuza ndizi kwa wasafiri mbalimbali waliosimama kwa muda kujipatia chakuna mahitaji mengine ya Mwili Mkoani Singida.
 Huyu alikuwa akiuza vitunguu maji, ndoo kubwa ya lita 20 alikuwa akiuza kwa sh 12,000/=
Huyu alikaa chini kusubiri wateja na walipofika alifanya biashara.
Posted by MROKI On Tuesday, May 15, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo