Nafasi Ya Matangazo

September 03, 2011

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wachungaji weusi  wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri  kutoka New York Marekani waliomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 3, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Kanisa la Anglican nchini, Askofu Mokiwa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga Septemba 3, 2011  akielekea  Korogwe   ambako Septemba 4, 2011  atakuwa mgeni rasmi kwenye  ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Mteule Maimbo Mdolwa wa Dayosisi ya Tanga.
Posted by MROKI On Saturday, September 03, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo