Nafasi Ya Matangazo

September 04, 2011

TAARIFA YA MAJINA YA WALIO PATA MKOPO  KWA WANAVYUO WOTE TANZANIA NA WANAO TEGEMEA KUJIUNGA NA VYUO 2011/2012

NDUGU WANAVYUO WOTE NA AMBAO MNATEGEMEA KUJIUNGA NA VYUO MWAKA HUU NCHINI KOTE TUNAPENDA KUWAPA TAARIFA KUWA BODI YA MIKOPO TANZANIA  IMETANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI WOTE AMBAO WAMEPATA MKOPO NA KIASI AMBACHO WAMEPEWA PIA NA WALE AMBAO HAWAKUWEZA KUPATA MKOPO HUO ,TUMEWEKA HAPA PIA ILI KUWARAHISIHIA NA KUPUNGUZA MSONGAMANO MKUBWA AMBAO UPO KATIKA TOVUTI YA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA, HIVYO BASI TUNAOMBA MTAZAME HAPA TUMEWEKA MAJINA YOTE KULINGANA NA HERUFI. 
KUNA KUNDI A HAWA NI WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA NA KUPATA MKOPO  NA KUNDI B HAWA NI WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA BILA MKOPO  . TUNAPENDA KUWAPA HONGERA WALE WOTE AMBAO WAMEPATA MKOPO HUU NA TUNAWATAKIA MASOMO MEMA,NA KWA WALE AMBAO MAJINAYAO YAPO KUNDI B PIA TUNAWAPA HONGERA SANA NA  WAENDELEE KUSUBIRI NAFASI YA PILI WATAWEZA KUBAHATIKA KUWA HAPO. TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU NA ASANTENI KWA USHIRIKIANO WENU.

IMETOLEWA NA
MATUKIO NA WANAVYUO CREW

04.09.2011

BOFYA HAPA CHINI KUONA MAJINA HAYO
ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI  WALIOPATA MKOPO
Posted by MROKI On Sunday, September 04, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo