Nafasi Ya Matangazo

August 08, 2011

 Warembo wanaowania taji la Miss Tanzania 2011 tayari wameanza kuwasili katika Ofisi za Lino International Agency waandaaji wa Shindano hilo tayari kwa kuingia katika kambi yao iliyopo Giraffe Ocean View Hotel Mbezi Beach jijini Dar es Salaam hii leo. Jumla ya wanyange 30 watakaa pamoja kwa mwezi mzima wakijifua.
 Baadhi ya wanyange waliokwisha tia timu katika kambi hiyo wakimsikiliza Miss Tanzania 2010 ambaye ni Matroni Msaidizi wa Kambi hiyo Genevieve Mpangala akiwapa dondoo za yatakiwayo kambini.
Miss Tanzania 2010, Genevieve Emmanuel Mpangala atakuwa na warembo hao kambini akiwapa mbinu mbalimbali zilizomfanya anyakue taji hilo mwaka jana. Blogu hii itakuwa Kambini humo kukuletea matukio mbalimbali siku hadi siku hadi mashindano hayo kumalizika.
Posted by MROKI On Monday, August 08, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo