Nafasi Ya Matangazo

August 08, 2011

Airtel yadhamini mkutano maalum wa mainjinia UDSM Afisa uhusiano wa Airtel , Jane matinde (kulia) akikabidhi mfano wa cheque yenye thamani ya shilling millon tano kwa Naibu mkuu wa chuo cha uhandisi na technologia UDSM prof. Felix Mtalo kwa lengo la kuchangia seminar maalumu iliyoandaliwa kwaajili ya kusherehekea miaka 50 ya chuo kikuu cha Dar es salam itakayofanyika tarehe 10 hadi 11 Augasti 2011. Kushoto ni mwenyekiti kamati maandalizi ya kongamano Dr. Juma Mohamed.
Posted by MROKI On Monday, August 08, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo